Hadithi Iliyo Ndefu Kuliko Zote

Издательство:
Автор
Перевод:
Ephraim Njoroge KamauMtoto mdogo Minnie Makepiece alikuwa na hamu ya kushinda safari ya likizoni ya kutembelea Disneyland kwa kusimulia hadithi iliyo ndefu kuliko zote, kwa hivyo akaenda kuzungumza na Grandpa Makepiece.